Thursday, August 11, 2016

Published 8/11/2016 05:52:00 PM by with 0 comment

USHAURI WAKO:

Unajua nini bro G, mimi niko tofauti na wanawake wengine natamani sana kuolewa nahisi ndiyo heshima ya mwanamke lakini simpati mwanaume ambaye yuko tayari kunioa.
Nina bahati ya kutongozwa sana ila sina bahati ya kuolewa zaidi ya kuumizwa na mapenzi kila siku. Unaweza kunishauri vipi kuhusu hilo?


UMEUMIZWA NA MAPENZI
USIKOSE Semina ya Mimi na Uhusiano (M&U) YA KUNA MAISHA NJE YA MAUMIVU YA UHUSIANO (XXLOVE).
JENGA UJASIRI SIMAMA TENA (UJASIRIAMALI). Siku ya Jumamosi, tarehe 27-8-2016. SIYAKUKOSA KWA KIINGILIO:7000/= NA BITES.
Kwa maelezo zaidi au KUPATA TIKETI YAKO MAPEMA wasiliana nasi kwa namba 0657486745 au 0767207156.
      edit

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.