Tuesday, August 30, 2016

Published 8/30/2016 04:13:00 PM by with 0 comment

MADA LA LEO M&U: KAMA KAZALIWA KUWA WAKO, BASI ATAKUWA TU!





"Kwa tabia yako ya kuzila na kupotezea wakati mwingine inaweza ikakugharimu sana, kikubwa ni kupigana na kuwa na Imani kuwa kama kweli mwanaume au mwanamke huyo alizaliwa kuwa wako basi amini atakuwa wako hata kama ni kwa miaka ishirini ijayo kuna msemo usemao KAMA IPO, IPO TU, basi jiamini kuwa kama kweli huyo jamaa au mdada ni mpenzi wako yawezakana anapitia mapito tu kwenye maisha yake, yawezekana ni ujana tu unamsumbua ila muda muafaka ukiwadia basi yeye mwenyewe atatulia na kurejea kundini."
      edit

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.