Sunday, May 14, 2017

Published 5/14/2017 02:09:00 PM by

FAIZA AKUMBUSHAI ENZI ZA MAPENZI YAO NA SUGU

Mwigizaji Faiza Ally ameleza jinsi mahusaino ya kimapenzi yalivyokuwa yanamsumbua katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita hali iliyopelekea yeye kuugua mara kwa mara.



Kupitia instagram Faiza amepost picha akiwa kitandani na kuandika, ‘‘Kuna mambo sasa hivi nikiangalia nacheka sana … haya mapenzi jamani, hapo ni miaka mitatu iliyopita nilikuaga namlilia Baba Sasha mpaka natundikiwa drip halafu narusha Facebook picha ili anione labda atanihurumia au tu ataniuliza unaendeleaje nimsikie tu lakini wapi inakua holaaaaa.





“Pamoja na yote sijawahigi kujuta kumpenda na sijawahi kuacha kumpenda #throwback about 3 years ago…. asante facebook kwa kumbukumbu ambazo kwa wakati huo ilikua ni uchungu lakini kwa sasa imekuwa nikichekesho kwangu, simcheki mtu akililia mapenzi yake maana najua vile ana feel … mapenzi ya kweli hayafi,” aliandika Faiza.

Kwa Ushauri Wa Mahusiano, Mada Za Mahaba, Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge na M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0657486745.

Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Bonyeza Hapa


      edit