Katika kuuendea mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan imetangazwa good news iliyonifikia kutoka kwa Mwimbaji staa wa Bongofleva Shetta kwenda kwa mashabiki wake baada ya kuamua kutoa misaada kwenye Vituo vya Watoto wenye Uhitaji Tanzania nzima.
Kupitia account yake ya Instagram, Shetta
ametoa mawasiliano yake kutoa nafasi kwa wahusika wa vituo hivyo ambao
wanahitaji msaada ili aweze ku-share nao kitu kidogo alichojaaliwa
kuelekea msimu huu wa Ramadhani:
“Msimu
wa Ramadhan unakaribia Mimi kama Shetta na menejimenti Yangu nzima
napenda kukufahamisha kuwa kwa kidogo nilichonacho natarajia kuanza
kusaidia na kutoa misaada kwa vituo vya watoto yatima na wenye uhitaji
mkubwa mikoa yote ya Tanzania ambayo Ntaweza kuifikia.
“Naamini Vipo vituo vingi
vyenye uhitaji mkubwa sana wa mahitaji ya kila siku. Hivyo basi popote
ulipo kama unajua au unahusika na kituo chochote usisite kuwasiliana
nasi kupitia;
“Social media (Instagram, Twitter, FaceBook; @OfficialShetta or @MxCarter)
Email; shettamusic@gmail.com or MxCarter@slidevisuals.com
Simu; +255 22 278 0288 / 0655653030
Ili tuweze kukufikia kwa Urahisi Kabisa.”
Email; shettamusic@gmail.com or MxCarter@slidevisuals.com
Simu; +255 22 278 0288 / 0655653030
Ili tuweze kukufikia kwa Urahisi Kabisa.”
Kwa Ushauri Wa Mahusiano, Mada Za Mahaba, Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge na M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0679979785.
Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:@mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwa ku-Bonyeza Hapa
Na.M&U