Hivi unajua kupenda? Je na unayempenda anajua kama
unampenda? Ni yapi maumivu ya mapenzi. Hivi ukisikia unayempenda ana mtu
mwingine utajisikia vipi? Kwamba huna bahati au huna dhamani au mapenzi siyo
fani yako?
Lakini
kawaida ya anayependwa uwa anasaliti penzi sijui kwa nini? Ila mtaka yote ukosa
yote daima jitahidi kupenda ili upendwe.
Kwa Ushauri Wa Mahusiano, Mada Za
Mahaba, Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge
na M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0679979785.
Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com,
Insta:@mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwa ku-Bonyeza Hapa
Na.M&U
BY Tatu Kiondo