Monday, December 26, 2016

Published 12/26/2016 03:59:00 AM by

DIAMOND PLATNUMZ KUTUMBUIZA FAINALI ZA MATAIFA YA AFRICA (AFCON 2017 GABON)


Msanii wa Bongofleva ambaye anafanya vizuri kwa sasa kutokana na kuachia hit-songs kila kukicha na kuteka muziki wa Africa, Diamond Platnumz ni miongoni mwa wasanii waliopewa heshima ya kufanya show katika tuzo ya mchezaji bora Africa January 5  na michuano ya mataifa ya Afrika 2017.
Diamond ataanza kuperform katika utoaji wa tuzo za mchezaji bora Afrika kwa mwaka 2016 maarufu kama CAF Glo Awards ambazo zitafanyika January 5 Nigeria, ila January 14 2016 ataperform katika uwanja wa Stade de l’Amitié Libreville wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 40000 wa kabla ya mchezo wa ufunguzi kati ya mwenyeji Gabon dhidi ya Guinea-Bissau.

Kwa USHAURI WA MAHUSIANO, MADA ZA MAHABA, HADITHI, MACHOMBEZO, MIKASA YA KWELI YA MAPENZI NA UJASIRIAMALI. Jiunge na M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0657486745

Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Bonyeza Hapa
      edit