Friday, December 23, 2016

Published 12/23/2016 11:00:00 AM by

USHAURI WAKO: NIMEACHISHWA KAZI GHAFLA SINA PAKUSHIKA!





Mimi ni mama wa mtoto mmoja ila mzazi mwenzangu tuliachana muda mrefu. Nilikuwa nafanya kazi kwenye saluni ya kiume lakini ghafla nimeachishwa kazi.

Nimechanganyikiwa na sijui nianzie wapi maana ndani nimebakiwa na Sh. Laki moja na nusu tu.

Hela zingine nilikuwa  natumia kumsomeaha mdogo wangu. Hivi karibuni mtoto wangu kaja likizo kutoka kijijini na anatakiwa arudi na mahitaji.

Unadhani nini nifanye, je, laki moja na nusu inaweza kuwa mtaji wa biashara ipi ambayo naweza kuendesha maisha yangu?


Kwa ushauri wa mahusiano, makala za mahaba, hadithi, machombezo, mikasa ya mapenzi na ujasiriamali.
Kwa Ushauri Wa Mahusiano, Mada Za Mahaba, Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge na M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0657486745.

 Pia unaweza kupata mikasa huu kwa kujiunga na M&U SMS kila siku kupitia Na.0657486745.
Unaweza tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Bonyeza Hapa
Na.M&U
      edit