Thursday, December 29, 2016

Published 12/29/2016 02:47:00 PM by

NAWEZAJE KUIFICHA AIBU YA KUBEBA MIMBA YA BABA MDOGO!




Mimi ni binti, nilikuwa naishi na wazazi wangu pamoja na baba yangu mzazi.

Baada ya muda wazazi walisafiri nje ya nchi, nikabaki na baba mdogo, tulipomaliza miezi mitatu tukiwa peke yetu tukajikuta tumeanza uhusiano na hadi muda huu nina ujauzito wake.

Je, nifanyeje na mwezi ujao wazazi wanarudi Bongo

Kwa Ushauri Wa Mahusiano, Mada Za Mahaba, Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge na M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0657486745.


Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Bonyeza Hapa


Na.M&U
      edit