Naitwa H, ni kijana wa miaka 28, nina mpenzi wangu ambaye tulipendana sana ila hivi karibuni tulitofautiana na kuachana ingawa mimi bado nampenda.
Katika maisha yangu ya mahusiani sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye, kitendo cha kunuacha kimeniumiza sana.
Nataka kumkomoa ili kumuharibia katika maisha yake, hawezi kuniacha bila sababu. Nimejipanga kusambaza picha zake za utupu ambazo niliwahi kumpiga.
Nikisambaza ataweza kurudi kwangu, au nitaambulia patupu pamoja na kuzisambaza picha hizo?
Kwa
Ushauri Wa Mahusiano, Mada Za Mahaba, Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya
Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge na M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na.
0657486745.
Unaweza
tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:mimi_na_uhusiano au tembelea
ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Bonyeza Hapa
Na.M&U