Asante Mungu kwa kuimaliza siku salama, tunashukuru kwa kutusimamia kuimaliza siku hii ingawa kuna wenzetu wanauguza, wazazi, dada,.kaka, wajomba, wapenzi, waume na hata wachba wao. Basi watie nguvu na faraja wale wote walio kwenye kipindi kigumu cha majonzi baada ya kuondokewa na ndugu zao, walio na maisha.ya dhiki kiasi cha kukosa mlo wa siku.
Nazungumzia wewe wanamke ambaye umejaliwa kuwa na figa bomba kichizi ambayo inakufanya uamini kuwa unapaswa kuwa tajiri au kuwa na bwana wenye pesa.
Unajidanganyana muonekano wako pekee haukufanyi uwe tajiri bali mikakati na kukituma kwa bidii sana.
Baadhi ya wanawake wameigeuza miili yai kama kitega uchumi, wamegeuza kama sehemu ya wao kupatia pesa utajiri au.kutoboa kimaisha jambo ambalo halina ukweli wa asilimia zote.
Kuufanya mwili wako kuwa kitega uchumi ni kujidhalilidha, ni kujichujisha mwenyewe kwani wengi watakuwa wanakupenda kwa sababu tu ya figa yako, wakishakula vyombo wanalala mbele.
Ni muda wa kushituka, acha.kutumia uzuri, figa au uanamke wako kama mradi, kila jambo huwa lina mwisho wake ila kqa tabia hizo mwisho wake ni mbaya zaidi.
Huna sababu ya kutamani kidraivu wakati huna huwezo wa kununua gari zaidi ya kiguu na njia kusaka mwanaume mwenye gari.
Huna sababu ya kutamani kupanga nyumba nzima wakati hata vyombo vya ndani huna, acha kutumia figa yako vibaya.
Kwa ushauri wa mahusiano, makala za mahaba, hadithi, machombezo, mikasa ya kweli ya mapenzi na ujasiriamali jiunge na M&U WhatsApp kupitia Na.0657486745 pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta: mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Mtandao wa Kijamii wa Facebook