Monday, February 27, 2017

Published 2/27/2017 12:00:00 PM by

ANADAI MIMI NI MUMEWE ILA ANACHATI NA X-WAKE


Naitwa JF, niko Ruvuma, nina mpenzi ambaye tuna mwaka na sehemu katika mahusiano yetu.

Tumeahidiana mambo mengi sana, kwa sasa anatarajia kujiunga na chuo.


Naitwa JF, niko Ruvuma, nina mpenzi ambaye tuna mwaka na sehemu katika mahusiano yetu.

Tumeahidiana mambo mengi sana, kwa sasa anatarajia kujiunga na chuo.

Ila tatizo lake, simu yake huwa inapigwa sana na wanaume mara kwa mara na amekuwa akinikabidhi hiyo simu na kuniambia nipokee ili wajue kuwa ameolewa.

Wakati mwingine huchati na hao wanaume na kusema kuwa walikuwa ni Ma- X - wake ila hana mpango nao, MIMI NDIYO MUMEWE.

Ungekuwa wewe ungechukuliaje hali hii?



Kwa Ushauri Wa Mahusiano, Mada Za Mahaba, Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge na M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0657486745 au 0679979785.

Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:@mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwa ku-Bonyeza Hapa
Na.M&U
      edit