Sunday, February 19, 2017

Published 2/19/2017 12:00:00 PM by

ZIPI DALILI ZA MPENZI ASIYEKUTAKA!



Mimi ni kijana ambaye nimetokea kumpenda msichana mmoja hivi,  nilimtafuta na kumueleza kuhusu ukweli wa maisha yangu. 
 
Yule msichana alinisikiliza kwa makini na kuanza kuniuliza mswali ambayo ni kama alikuwa ananipeleleza, nilimjibu lakini baada ya hapo kila nikimtumia SMS hajibu na kwangu zinaonekana kuwa kishazisoma. Nikimpigia hapokei, naomba kufahamu ni dalili ya nini hiyo? Na dalili zipi huonesha mpenzi ambaye hakutaki?

Kwa Ushauri Wa Mahusiano, Mada Za Mahaba, Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge na M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0657486745 au 0679979785.

Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:@mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwa ku-Bonyeza Hapa
Na.M&U

      edit