Mimi ni mwanaume wa miaka zaidi ya 28, nina ishi na
mke wangu kwa miaka kadhaa. Kwa miaka ya
nyuma ambayo nimeishi na mke wangu alikuwa ni mwanamke mpole sana lakini kwa
sasa amebadilika na kuwa mkali sana.
Mimi ndiyo mwanaume lakini inafikia sehemu namuogopa sana
mke wangu kwa ukali aliona nao kwa sasa, kuna wakati anaweza kuanza kulia tu
bila hata kupigwa.
Kuna siku akiamua ali hata siku nzima, sijajua nini
kimemkuta mke wangu. Naombeni ushauri wenu wana M&U.
Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:@mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Bonyeza Hapa
Na.M&U.