Friday, February 17, 2017

Published 2/17/2017 12:00:00 PM by

KANIAMBUKIZA ZINAA ILA BADO NAMPENDA



Habari zenu wadau wa Mimi na Uhusiano “M&U”, mimi ni mwanamke wa miaka 30. Kuna mkaka ambaye nilianzisha naye mahusiano kwa muda wa miezi miwili.


Nilienda kukutana naye kimwili lakini baada ya hapo nikagundua kuwa kaniambukiza gonjwa la zinaa, hadi sasa hivi bado nahangaika kujitibu lakini pamoja na yote hayo nahisi kumuelewa sana katika penzi lake.
Natamani kuendelea naye lakini Napata wasiwasi kuhusu ugonjwa huo wa zinaa NIFANYAJE. 

Naomba ushauri wako, ungekuwa wewe ungefanyaje?

Kwa Ushauri Wa Mahusiano, Mada Za Mahaba, Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge na M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0657486745 au 0679979785.

Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:@mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwa ku-Bonyeza Hapa
Na.M&U

      edit