Mimi niko tayari kumsaidia Msanii na Mtanzania mwenzangu Jet Man ambaye amekuwa akiumwa na kusumbuliwa na matatizo ya mgongo kwa miaka zaidi ya 4. Maisha yake mengi yamekuwa ni ya kulala ila kwa mchango wako utaweza kumsaidia kunyanyuka tena na kuielimisha jamii kupitia sanaa yake. UNGA NAMI KUTOA NI MOYO.