Mwezi wa pili ulikatika nikiwa Kwa Mfipa
lakini akili yangu kubwa ikiwa kwenye mguu wa mtoto wangu, nilitamani sana mtoto
wangu apone mguu wake. Niatafanyaje sasa. Kwa kawaida pale nyumbani kuna
kiredio kidogo ambacho huwa tunasikiliza, sasa siku hiyo nikawa nimeweka moja
ya kipindi cha kinachohusu mambo ya mikasa ya mapenzi.
Nilimsikiliza sana mtangazaji kwa makini
sana wakati akitambulisha mkasa wa binti
ambaye alitoroka kwao kwa sababu alitakiwa kuozeshwa kwa nguvu na baba
yake, na mbaya zaidi mwanaume ambaye
alitakiwa kumuoa anamzidi umri hata baba yake mzazi na alikuwa anaolewa mke wa
pili wakat huo binti alikuwa na miaka 17.
Yule mtangazaji baada ya kumaliza kipindi
alitaja namba hivyo nikaona nichukue kwa sababu alisema kama kuna wasikilizaji
watakuwa wanataka kutoa mikasa na hata wale wa kuwasaidia wahanga wa mikasa
ile, niliona ni vyema na mimi nikiwa nayo ile namba kwa dharura.
Baadaye nilijiuliza hivi kweli nikajitangaze
kwa watu wanisikilize, si hata wa kijijini kweu na wao watasikia, sikuwa na
namna maji yalikuwa yamenifika shingoni, nilichofanya baada ya wiki moja kupita
nilimtafuta mtangazaji huyo na kumuelezea kile nilichokuwa nahitaji.
Nilimwambia mimi hitaji langu kubwa ni
mwanangu kunyooshwa tu mguu wake hichi ndicho ambacho nilikuwa naomba. Yule
mtangazaji akaniamba nipe dakika mbili nitakwambia. Baada ya muda akanitumia
namba 0657486745 na kuniambia kuwa wasiliana na huyo mtu atakusaidia na
nimeisha wasiliana naye, nilifurahi sana kwani niliamini tatizo la mwanangu
kuwa na ulemavu limetatulika.
Nilianza kuisumbua ile namba kwa kubipu
mata tafadhali nipigie nika mat ambaye amekutana na zali sasa anaona ni kama
linachelewa, ilipofika jioni majira ya saa 12
jioni ile namba ilinipigia nikajikuta nashusha pumzi ndefu kidogo.
Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta@:mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Bonyeza Hapa
Na.M&U