Pole sama pengine na wewe ni mmoja wa wale ambao ni
wahanga wa jambo hili la wazazi kumtafutia mke au mume mtoto wao.
Hivi ni sahihi kweli kwa wazazi kufanya hicho kitu, kwa
umri wako, kwa karne hii. Kama ni sahihi ni kwa sababu zipi ? na kama si sahihi
unadhani ni kwa nini?
Napenda
kukaribisha maoni yako kuhusu hili kwa lengo la kujifunza, kama ni miongoni mwa
wale ambao waliwahi kukutana na kesi hiyo basi, tunaomba uzoefu na uelewa wako
kuhusu kile kilichokutokea na nini ulifanya.
Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:@mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Bonyeza Hapa
Na.M&U