Saturday, February 11, 2017

Published 2/11/2017 12:00:00 PM by

NATAMANI WANAVYOSA…, NAONA KAMA WANAINJOYI SANA!



Mimi ni binti ambaye niko chuoni, ni zaidi ya miezi 9 sijakutana na mwanaume, baada ya mpenzi wangu kuachana naye kwa kunitendaa vibaya.
 
Katika chumba ninacholala tuko wasichana watatu ila wenzangu wana tabia ya kufanya mapenzi ya jinsia moja, naona kama wanainjoy sana.

Kwani wakianza kufanya mwili wangu hunisisimuka sana na kusikia hamu ya ajabu. Naombeni ushauri wenu kuhusu hali hii, nifanyaje?



Kwa Ushauri Wa Mahusiano, Mada Za Mahaba, Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge na M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0657486745 au 0679979785.

Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:@mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwa ku-Bonyeza Hapa
Na.M&U
@@@
      edit