Wednesday, February 8, 2017

Published 2/08/2017 12:00:00 PM by

SHEMEJI ZANGU WANANITAKA KIMAPENZI.

Mimi ni msichana ambaye nina mpenzi wangu ambaye ana ndugu zake, kaka na mdogo wake ambao wanafahamu kabisa kuwa nina mahusiano na ndugu yao.


Cha ajabu wamekuwa wakinisumbua sana kunitaka kimapenzi hasa ndugu yao anapokuwa hayupo. Wameahidi kama sitawakubalia basi wataharibu mahusiano yangu na ndugu yao kwa namna yoyote ile.
Je, nifanyeje kuepukana na usumbufu huo, nitashukuru kwa ushauri wenu mzuri.
 Kwa Ushauri Wa Mahusiano, Mada Za Mahaba, Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge na M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0657486745 au 0679979785.

Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:@mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwa ku-Bonyeza Hapa
Na.M&U
      edit