Thursday, April 27, 2017

Published 4/27/2017 12:44:00 PM by

ANANIFICHA KAMA ANA MTOTO

Habari....mimi ni binti mwenye miaka 23 nina mpnz wangu tumedumu katika mapenzi kwa miez mitatu ila huyu mpenzi wangu uwa anapost whatsApp picha ya mtoto mdogo wanafanana na jamaa ila nikimuuliza anasema wa rafik ake sasa jana kuingia kwenye accaunt inst nikakuta kapost tena hiko katoto anakatakia her ya kuzaliwa huku akisindikiza na maneno akisema mtoto wake wa kwanza, nikaamua kumuuliza tena lakini akabisha wala hakuwa na majibu ya maana ikabidi nimuonyesha ile post ndio akashtuka alikua hana la kusema ila maneno yakamtoka akisema ya kwamba anatania tu co mtoto ake je huyu jamaa ananipenda kweli au ananizingua naona kama ananificha kama yule mtoto ni wake??






Kwa Ushauri Wa Mahusiano, Mada Za Mahaba, Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge na M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0679979785.
Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:@mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwa ku-Bonyeza Hapa
Na.M&U
      edit