MKE WANGU KAGUNDULIKA NA VIRUSI VYA UKIMWI, NIFANYEJE!
Nampenda sana mke wangu lakini hivi karibuni aligundulika kuwa ameathirika na mimi niko safi kabisa, nilishangaa sana na kujiuliza inakuaje. Lakini inavyoonekana mwenzangu hakuwa mwaminifu kwenye ndoa yetu.
Kwenye ndoa yetu tuna miaka minne na tuna watoto wawili, nafikiria namna ya kumuepuka ili kuiponya nafasi yangu?
Unadhani nitatumia njia zipi kuepukana naye au nifanyaje?
Kwa Ushauri Wa Mahusiano, Mada Za Mahaba, Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge na M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0679979785.
Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:@mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwa ku-Bonyeza Hapa
Na.M&U