MKE WANGU KAOLEWA MKE WA PILI, NIFANYAJE BADO NAMPENDA!
Habari yako kaka, na K, niko Moshi, Mada Iliyopita Ilinigusa sana na sina raha kabisa kutokana na kumuacha mke wangu ilihali bado nampenda
Nilihisi ana tabia za kishirikiana ambazo alikuwa akinifanyia nikaamua kumuacha. Pia nilihisi kama kuna dalili za usaliti nikaamua kuachana naye.
Nilihisi ana tabia za kishirikiana ambazo alikuwa akinifanyia nikaamua kumuacha. Pia nilihisi kama kuna dalili za usaliti nikaamua kuachana naye.
Kila wakati huwa namkumbuka, roho huniuma sana na kwa sasa kishaolewa mke wa pili na jamaa mwingine.
Ingawa huwa ananisumbua mara kwa mara nimsaidie misaada mbalimbali nahisi kama anateseka huko naliko, nampenda mke wangu, nifanyaje?
Kwa Ushauri Wa Mahusiano, Mada Za Mahaba, Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge na M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0679979785.
Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:@mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwa ku-Bonyeza Hapa
Na.M&U