Friday, April 7, 2017

Published 4/07/2017 12:00:00 PM by

NALAZIMISHWA NIOLEWE NA MCHEPUKO WA RAFIKI YANGU!




Mimi ni binti ambaye ninaishi na wazazi wangu, nina miaka 25, wazazi wangu wamenitafutia mwanaume wa kunioa.

Kutoka moyoni sina mapenzi naye, na sitaki kuolewa naye. Mbaya zaidi aliwahi kutembea na rafiki yangu ila nyumbani na wazazi wangu hawajui hilo.

Wazazi wanasema kama sitakubali kuolewa naye basi hawatanihudumia wala kunisikiliza kwa jambo lolote lile!
Unadhani nini nifanye kuepukana na msala huu?


Kwa Ushauri Wa Mahusiano, Mada Za Mahaba, Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge na M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0679979785.

Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:@mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwa ku-Bonyeza Hapa
Na.M&U
      edit