Mimi ni mwanaume, nina mke na watoto, nimesoma makala ya Gazeti la Amani KUHUSU USALITI NI SUMU KATIKA UHUSIANO.
Nahisi mada hii kama inanihusu mimi ila nashukuru kwa kunifumbua mawazo maana sijui nimerogwa nikitoka kazini unakuta napanda gari kuelekea kwa kimada, naacha mke na watoto nyumbani, nikiamka kwa kimada wangu nakuwa najuta sana.
Wiki ya pili hii inaanza nyumbani nimekuwa
nikipeleka hela ya matumizi na nakubadilisha nguo tu. Nina hitaji msaada wenu
niepukane na hili, au nimerogwa?
Kwa ushauri wa mahusiano, hadithi za mapenzi, machombezo, mikasa
ya kweli ya mapenzi na ujasiriamali.
Jiunge na M&U WhatsApp na M&U SMS kupitia 0679979785 au tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com,
Insta:@mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye
Mtandao wa Kijamii wa Facebook.