Mimi ni binti wa miaka 25
bado sijaolewa ina natamani sana kuzaa ili niwe na mtoto au watoto wangu wakati
nina nguvu za kuwalea ila nasikiaga watu wanasema kuwa mwanamke ukishazaa
thamani na soko lako linapungua.
Eti kama hujaolewa unaweza usiolewe, kwa
sababu kila mwanaume anasema aaaah kaishazalishwa huyo.
Je, ni kweli kama ndivyo
ni kwa nini, mbona wanaume wao soko lao halishuki na unakuta jamaa ana watoto
hata watano?
Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Bonyeza Hapa
Na.M&U