Monday, January 16, 2017

Published 1/16/2017 12:00:00 PM by

HIVI MWANAMKE NAYE ANA HAKI YA KUTONGOZA AMPENDAY!



Mimi ni mwanamke mwenye miaka 25, ni mrembo niliyejaliwa umbo zuri sana na Mwenyezi Mungu, kwa sasa sina mpenzi ila kuna kijana mmoja mtaani kwetu nimetokea kumpenda ingawa nahisi kijana huyo hafahamu kama mimi nishamzimikia kitambo, na kama ikitokea leo akaniambia kuhusu mapenzi ni sawa na kumpiga teke chura au kumsukuma mlevi. 
 
Naomba ushauri wenu, hivi mwanamke naye anaruhusiwa kumtongoza mwanaume anayempenda?

Kwa Ushauri Wa Mahusiano, Mada Za Mahaba, Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge na M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0657486745.

Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Bonyeza Hapa

Na.M&U

      edit