Tuesday, January 31, 2017

Published 1/31/2017 02:00:00 PM by

NIMEAMUA KUJIUZA-25



ULIPOISHIA…
Hivyo niliendelea kukaa pale kwa muda mrefu bila kuonana na mama yangu wala yeye mama kuja mjini kwa sababu tu muda mwingi mumewe alikuwa nyumbani, hivyo ilikuwa ni ngumu sana kumuaga na kumruhusu.
ENDELEA NAO…
Baada ya mama kushindwa kuja aliendelea kusikitika sana juu ya kile kilichonitokea kwa kina Maiko nilihisi katika maongezi ya mama ni kama alikuwa amekata tamaa na kuona sisi ni kama ukoo uliolaaniwa au wenye mikosi, kwani haiwezekani yeye ndoa yake ikawa ina matatizo lakini hata mimi pia kukawa na shida.
 
nilimwambia mama hakuna haja ya kuendelea kusikitika, mimi nitaendelea kupambana hapahapa mjini. Nashukuru mama wakati anakuja hakuja mikono mitupu bali alikuwa na viazi pamoja na mboga za majani.



Kwa Ushauri Wa Mahusiano, Mada Za Mahaba, Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge na M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0657486745.

Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:@mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Bonyeza Hapa
Na.M&U



      edit