Tuesday, January 10, 2017

Published 1/10/2017 12:00:00 PM by

MPENZI WANGU HATAKI TUFANYE TENDO LA NDOA!




Umri wangu ni miaka 22, ni kijana ambaye nina mahusiano ya kimapenzi na binti wa miaka 19 na tuma miezi nane kwenye uhusiano lakini hatujawahi kukutana kimapenzi.

Nimechoka, kwani nikimwambia tufanye mapenzi ananiambia tuvumilie. Je, huyo mwanamke anafaa kuwa mchumba wangu kweli au ninapoteza tu muda wangu.

Kwa Ushauri Wa Mahusiano, Mada Za Mahaba, Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge na M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0657486745.

Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Bonyeza Hapa

Na.M&U

      edit