Tuesday, January 31, 2017

Published 1/31/2017 12:00:00 PM by

SHEMEJI ZANGU WANANITAKA KIMAPENZI!



Mimi ni msichana ambaye nina mpenzi wangu, ila huyo mpenzi wangu ana kaka zake ambao wamekuwa akinisumbua sana kunitaka kimapenzi nimejaribu kuwakatalia naona wanazidi, mara nyingi wamekuwa akivizia nikiwa siko na ndugu yao wanaanza kunisumbua. Ingekuwa wewe mimi ungefanyaje?


Kwa Ushauri Wa Mahusiano, Mada Za Mahaba, Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge na M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0657486745.
Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:@mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Bonyeza Hapa
Na.M&U

      edit