Mimi ni kijana wa miaka 24 kwa sasa, nuna mchumba ambaye tunapenda sana na niko tayari kwenda kwao kwa ajili ya kujitambulisha na kufuata taratibu zingine ili niishi naye.
Tatizo langu nimoja tu, ninapokuwa faragha na mpenzi wangu nahisi kama nawahi sana kumaliza au kufika mshindo bila yeye kumaliza, sasa hili linaniweka kwenye wakati mgumu sana.
Kwa mtu ambaye anafahamu nini cha kufanya, naomba msaada wako kwani nateseka sana na hili tatizo.
Kwa Ushauri Wa Mahusiano, Mada Za Mahaba, Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge na M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0657486745.
Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Bonyeza Hapa
Na.M&U