Mjasiriamali mwenzangu
nakualika tena katika mwendelezo wa sehemu ya pili ya mada hiyo ya uchuuzi wa
mbogamboga na matunda.
Biashara hii ya uchuuzi wa
mbogamboga na matunda ni biashara ndogo kimuonekano lakini ni biashara kubwa
sana kifkra hasa kwa mtu mwenye malengo nayo, kwani unaweza kufanya biashara
hii kwa muda f’lani kwa kutunza sehemu ya faida yako hata kama ni kidogo ukiwa
na malengo itakufikisha mbali.
Wanasema haba na haba
hujaza kibaba, bila shaka kwa kukusanya faida ndogo ni dhahiri baada ya muda utakuwa
na kitu kikubwa kitakachokuwezesha kutoka sehemu moja na kwenda sehemu nyingine.
Kimsingi mabadiliko hayo
yanaweza kuwa ya moja kwa moja kwa kuachana kabisa na biashara hiyo ya uchuuzi wa
mbogamboga au matunda na kufanya nyingine au kufanya biashara nyingine pamoja
na ile ya awali.
Biashara hii imekuwa ni
sehemu muhimu sana kwa maisha ya Watanzania wa kima cha chini na juu kwani
matunda na mboga ni vitu muhimu kwa ujenzi wa mwili wa binadamu na katika suala
la kula halina cha fukara au maskini na tajiri. Wote wanahitaji kula.
Uchuuzi huu pia unaweza
usiwe wa kuzunguka mitaani au kuwa na genge. Wakati mwingine unaweza kuuzia
shambani kama wewe ni mkulima, kikubwa ni kuhakikisha unalima eneo lenye
uhakika wa maji ya kutosha, jepesi kufikika na lililo jirani na makazi ya watu.
MWENZA WANGTU AHISI TENDO LA NDOA KAMA ZAMA NI
Mimi ni
mwanaume ambaye nimemidi mke wangu miaka 4
umri wangu na mke wangu ni zaidi ya miaka 30. Tuko kwenye ndoa kwa miaka
zaidi ya 8 kwa sasa.
Hivi karibuni
mke wangu amekuwa na tatizo la kutokuhisi hamu ya tendo la ndoa anapokuwa
faragha, naomba ushauri , nini tatizo, nifanye nini kurejesha hali yake ya
awali?
Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Bonyeza Hapa
Na.M&U