Saturday, January 21, 2017

Published 1/21/2017 12:00:00 PM by

UNGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE!


Vaa uhusika wewe ni mwanamke au mwanaume ambaye umempeleka mtoto hospitalini alafu unarudi nyumbani unamkuta mkeo, mumeo au mpenzi wako kajifungia ndani na mtu mwingine unafanyaje.

Tujadili kwa mustakabali wa kuelimishana maana nahisi mkuki moyoni.

Kwa ushauri wa mahusiano, hadithi, machombezo, mikasa ya kweli ya mapenzi na ujasiriamali.
Kwa Ushauri Wa Mahusiano, Mada Za Mahaba, Hadithi, Machombezo, Mikasa Ya Kweli Ya Mapenzi Na Ujasiriamali. Jiunge na M&U SMS au M&U WhatsApp kupitia Na. 0657486745 au 0679979785.

Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Bonyeza Hapa
Na:M&U




      edit