Ni mama wa familia mwenye
watoto 3 na mme mmoja, mume wangu amekuwa na tabia ya kuniingilia faragha
wakati mimi nikiwa nikiwa usingizini.
Nimekuwa nikistuka kutoka
usingizini namkuta mume wangu akishughulika mwenyewe, jambo ambalo nimekuwa n
ikishangaa kwa nini haniambii ili tushirikiane sote!?
Nimejaribu kukaa na kuzungumza
naye sana kuhusu hilo lakini hanielewei, anadai kuwa yeye akifanya mapenzi na
mimi usingizini anasikia raha zaidi ya akifa… nikiwa macho.
Natamani kuachika, lakini
nawaonea huruma watoto wangu, nashindwa kujua nini cha kufanya ili mume wangu
arudi kwenye hali ya kawaida.
Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Bonyeza Hapa
Na.M&U