Sunday, January 1, 2017

Published 1/01/2017 08:00:00 PM by

HAKUNA MWAKA MPYA PASIPO MTU MPYA




HAKUNA mwaka MPYA bila mtu MPYA. Kumbuka Kuwa Mwaka Mpya ni MABADILIKO YA TAREHE tu hakuna jipya bila wewe kuwa mtu mpya.Maeneo matatu unahitaji kuzingatia:

1)Maarifa uliyonayo kwa sasa ndiyo yamekufikisha hapo ulipo kama unataka mwaka mpya pata maarifa mapya.

2)Watu wanaokuzunguka ndio wamekupa influence ya kuwa hivyo ulivyo:Chagua marafiki wa kuongeza ama kupunguza baadhi yao hasa wale ambao wanakurudisha nyuma.

3)Badilisha Tabia zako za kila siku . Kama utaendelea na Tabia zilezile za mwaka 2016 hapo hakutakuwa na tofauti kati ya mwaka uliopita na unaokuja.
      edit