Naitwa Daty ni msichana wa
miaka 27, huko nyuma niliwahi kuwa na mahusiano na baadhi ya vijana kama wawili
watatu lakini niligundua hakuna hata mmoja ambaye alikuwa na nia ya kunioa.
Natamani sana kuwa na
familia yangu, kwa kwa maana ya kuolewa kwa kufuata mila, tamaduni na misingi
ya dini lakini sijampata mtu sahihi wa kunioa nifanyaje?
Pia tembelea www.miminauhusiano.blogspot.com, Insta:mimi_na_uhusiano au tembelea ukurasa wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Bonyeza Hapa
Na.M&U